Msaada, simu kuzima mwanga.

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wandugu,

Nina ndugu ana simu aina ya samsung. Wiki 3 zilizopita nyuma aliingiza kwenye povu la maji wakati anafua na ht kioo kilipata crack sabab ya kudondoka. Nilipeleka kwa fundi wa mtaani akabadilisha touch na kuiwezesha kuwaka sabab ilishindwa kuwaka. Alinirudishia lkn nilipoitest nikagundua imerudi na tatizo lingine la kukata mwanga na kujizima pindi unapoiwasha au ukiiweka kwenye charge ikiwa On mwanga wa simu ukizima na yenyewe inazima, na hili tatizo hutokea hata km haiko kwenye chaji.
Baada ya kumrudishia na kumsubiri kwa siku zaidi ya 3 leo nimempigia kujua hatma ya simu alichoshauri ni tuiflash.
Je kwa waelewa wa mambo ya simu, kuflash kutamaliza tatizo la simu au ni kujaribu km itawezekana?

Naombeni msaada wenu ktk hili..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…