Pole Ndugu Uroto.
Najua huwa unatuma picha, audio na video kwa jamaa zako. Hizo picha, audio na video huhifadhiwa pia katika folder "sent" (Whatsapp>media>sent). Nenda katika folder hilo na futa hizo file
Kw Samsung almost zot ikiwa na tatz hlo ukiangalia hapo juu kushoto mw display yak utaona Kun notification imeandikw "storage full some functions can work slowly" click hiyo notfctn af italeta kwny Apps hapo utawez kuaUnistall apps ambz huziitaj