Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Salaam wataalam
Mi nina simu Itel 1508
Hii simu bwana imeanza ugonjwa wa kutopeleka chaji ,sometimes nikiichaji inaingia vizuri lakini inaweza ikafika 20% ikasimama isiendelee tena inaweza kukaa kutwa nzima kwenye chaji inabaki ile ile 20%
Sometimes inakesha kwenye chaji kuamka asubuhi ina 4%
Sometimes inakua na 35% hapo inakua naichaji nimeizima ,nikiweka line na kuiwasha unakuta may be 56% au 47%
Sasa nashindwa kujua tatizo ni chaja au simu yenyewe
So wajuvi wa mambo wanifahamishe nini hasa kinasababisha hii hali .