user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 #1 Napata shida kidogo kwa hawa watu waliozaliwa FEBRUARY 29. Je, wanasherehekea vipi siku zao za kuzaliwa ndani ya miaka ambayo february 28 ndiyo mwisho wa mwezi?
Napata shida kidogo kwa hawa watu waliozaliwa FEBRUARY 29. Je, wanasherehekea vipi siku zao za kuzaliwa ndani ya miaka ambayo february 28 ndiyo mwisho wa mwezi?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jan 12, 2016 #2 unapata shida gani
Tinoh rapper Member Joined Jan 12, 2016 Posts 17 Reaction score 8 Jan 12, 2016 #3 Hahahahaa hilo nalo nenooo
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Jan 12, 2016 #4 Kwani ni lazima kusherehekea siku ya kuzaliwa, mimi sikumbuki kama nimewahi kusherehekea
user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 Thread starter #5 peterchoka said: unapata shida gani Click to expand... tatizo ni hili "Wanatumia tarehe gani kama februar ikiishia tarehe 28"
peterchoka said: unapata shida gani Click to expand... tatizo ni hili "Wanatumia tarehe gani kama februar ikiishia tarehe 28"
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jan 12, 2016 #6 user037 said: tatizo ni hili "Wanatumia tarehe gani kama februar ikiishia tarehe 28" Click to expand... si wanasherehekea kila baada ya miaka minne au wewe unafikirije, usifanye vitu viwe complicated sana ndugu utaumia kichwa bure!
user037 said: tatizo ni hili "Wanatumia tarehe gani kama februar ikiishia tarehe 28" Click to expand... si wanasherehekea kila baada ya miaka minne au wewe unafikirije, usifanye vitu viwe complicated sana ndugu utaumia kichwa bure!
user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 Thread starter #7 peterchoka said: si wanasherehekea kila baada ya miaka minne au wewe unafikirije, usifanye vitu viwe complicated sana ndugu utaumia kichwa bure! Click to expand... Je, kwa wale watoto wa kishua wapenda sherehe hutumia tarehe gani?
peterchoka said: si wanasherehekea kila baada ya miaka minne au wewe unafikirije, usifanye vitu viwe complicated sana ndugu utaumia kichwa bure! Click to expand... Je, kwa wale watoto wa kishua wapenda sherehe hutumia tarehe gani?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jan 12, 2016 #8 user037 said: Je, kwa wale watoto wa kishua wapenda sherehe hutumia tarehe gani? Click to expand... yaani sijaelewa we unataka nini haswaa, hao si wanakula bata deile, birthday haiwasumbui
user037 said: Je, kwa wale watoto wa kishua wapenda sherehe hutumia tarehe gani? Click to expand... yaani sijaelewa we unataka nini haswaa, hao si wanakula bata deile, birthday haiwasumbui
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,079 Jan 12, 2016 #9 atafanya sherehe ambayo ni belated birthday yaani tar 01/march au premature birthday yaani tar 28/febr!
atafanya sherehe ambayo ni belated birthday yaani tar 01/march au premature birthday yaani tar 28/febr!
user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 Thread starter #10 peterchoka said: yaani sijaelewa we unataka nini haswaa, hao si wanakula bata deile, birthday haiwasumbui Click to expand... Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini
peterchoka said: yaani sijaelewa we unataka nini haswaa, hao si wanakula bata deile, birthday haiwasumbui Click to expand... Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini
user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 Thread starter #11 MKWEPA KODI said: Kwani ni lazima kusherehekea siku ya kuzaliwa, mimi sikumbuki kama nimewahi kusherehekea Click to expand... Hiyo ni kwa upande wako. Lakini kwa wale wanaopenda kusherehekea halafu tarehe imerukwa inakuaje?
MKWEPA KODI said: Kwani ni lazima kusherehekea siku ya kuzaliwa, mimi sikumbuki kama nimewahi kusherehekea Click to expand... Hiyo ni kwa upande wako. Lakini kwa wale wanaopenda kusherehekea halafu tarehe imerukwa inakuaje?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Jan 12, 2016 #12 user037 said: Hiyo ni kwa upande wako. Lakini kwa wale wanaopenda kusherehekea halafu tarehe imerukwa inakuaje? Click to expand... Wasubiri mwaka unaofuata wenye tarehe hiyo.
user037 said: Hiyo ni kwa upande wako. Lakini kwa wale wanaopenda kusherehekea halafu tarehe imerukwa inakuaje? Click to expand... Wasubiri mwaka unaofuata wenye tarehe hiyo.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jan 12, 2016 #13 user037 said: Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini Click to expand... atafanya belated birthday
user037 said: Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini Click to expand... atafanya belated birthday
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,198 Reaction score 103,017 Jan 12, 2016 #14 user037 said: Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini Click to expand... hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha.
user037 said: Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini Click to expand... hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha.
user037 Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 113 Reaction score 120 Jan 12, 2016 Thread starter #15 CleverKING said: hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha. Click to expand... Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maisha
CleverKING said: hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha. Click to expand... Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maisha
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Jan 12, 2016 #16 user037 said: Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maisha Click to expand... Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa? CleverKING said: hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha. Click to expand... Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?, kati ya mleta mada na wewe nani mwenye matatizo zaidi?
user037 said: Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maisha Click to expand... Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa? CleverKING said: hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo? Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha. Click to expand... Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?, kati ya mleta mada na wewe nani mwenye matatizo zaidi?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,198 Reaction score 103,017 Jan 12, 2016 #18 Tetramelyz said: Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa? Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?, kati ya mleta mada na wewe nani mwenye matatizo zaidi? Click to expand... jaribu kuwa muelewa badala ya kukurupuka tu! Sijachangia mada bali nimemshauri mleta mada
Tetramelyz said: Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa? Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?, kati ya mleta mada na wewe nani mwenye matatizo zaidi? Click to expand... jaribu kuwa muelewa badala ya kukurupuka tu! Sijachangia mada bali nimemshauri mleta mada