ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
na hiyo HTML ina husu vitu gan mkuu?kasome java au HTML zinalipa sana
java mfano ukisomea java kuna faida nyingi sana kama unapata uwezo wa kutengeneza program na games ninzuri sana
kwahivyo waliyo design hii jamiiforums walikuwa wana ability kubwa kwenye haya mambo eeeh!!!!Soma
:-HTML >hii ni kuhusu mambo ya web sana sana
and Its Frameworks
JAVA SCRIPT >pia hii ni mambo ya web
and its frameworks
Pia jifunze C zote mimi kwangu C zote ni language mama
Vile vile jifunze python ambayo ina apply kwenye various platforms .
na usome vilanguaje vingine vidogo vidogo na rahisi kuvielewa itakusaidia language kama
-perl
-pascal
-fortran
Jifunze utengenezaji wa forums kama Hii Jamiiforms. Soma Vitu kama
-Vbulletin
-MyBB
thanx chiefIli maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
thanks chiefIli maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
Mkuu kwanza jiulize unataka kufanya nini? Je ni kutengeneza websites au software za simu na pc!!thanks chief
mkuu mimi nnachotaka nikusoma program ambayo nimarketable kwa dunia ya ssa ili badaaye niweza kujiajili ndo maana nikaomba wataaramu wa hizi mambo mnisaidie.chief if possible nishushie nondo tuu mi ntachagua.sbb sijui chochote ndo kwanza nataka nianzeMkuu kwanza jiulize unataka kufanya nini? Je ni kutengeneza websites au software za simu na pc!!
Nijibu niendelee kukuelewesha!
mkuu ivi ICT ndo ipo kwenye java script?kwahivyo waliyo design hii jamiiforums walikuwa wana ability kubwa kwenye haya mambo eeeh!!!!
Alafu kuna kitu sijaelewa... Je unataka kusomea computer programming au unataka kozi ya kwenda kusoma chuoni maana mada yako inachanganya mkuu!!mkuu mimi nnachotaka nikusoma program ambayo nimarketable kwa dunia ya ssa ili badaaye niweza kujiajili ndo maana nikaomba wataaramu wa hizi mambo mnisaidie.chief if possible nishushie nondo tuu mi ntachagua.sbb sijui chochote ndo kwanza nataka nianze
HTML is not a programming language.Ili maisha yako ya programing yasiwe magum anza na html....its a basic language...
Zen from there unaweza soma language yyote na isikupe tab
Java itakusaidia sana hasa kwenye hii popular "android development of apps..."
ICT ni kama IT, na javascript ipo ndani ya ICT.mkuu ivi ICT ndo ipo kwenye java script?
Perl siyo language ndogo ina library kubwa ya Regex na wala siyo rahisi kujifunza labda kwa mtu ambaye teyari anaijua C.Soma
:-HTML >hii ni kuhusu mambo ya web sana sana
and Its Frameworks
JAVA SCRIPT >pia hii ni mambo ya web
and its frameworks
Pia jifunze C zote mimi kwangu C zote ni language mama
Vile vile jifunze python ambayo ina apply kwenye various platforms .
na usome vilanguaje vingine vidogo vidogo na rahisi kuvielewa itakusaidia language kama
-perl
-pascal
-fortran
Jifunze utengenezaji wa forums kama Hii Jamiiforms. Soma Vitu kama
-Vbulletin
-MyBB
kwhyo mkuu nikikomaa na hii ICT itanitoa?na je ili niwe qulified nitoboe miaka mingap?kuanzia cheti,diploma thenn degree.ICT ni kama IT, na javascript ipo ndani ya ICT.
nataka nikasome chuoni mkuu.mimi nilitaka nideal na program chache tuu hata 2 au 3 ambazo nikiingia mtaani nitaweza kupata pesa.au kiongozi nikisoma ICT ntakuwa nimeluka sn?Alafu kuna kitu sijaelewa... Je unataka kusomea computer programming au unataka kozi ya kwenda kusoma chuoni maana mada yako inachanganya mkuu!!
Kama unataka kozi ya kwenda kusoma chuon we chagua kozi yeyote ya IT au computer science nadhan zote zina cover software na web development!!
Toa maelezo kidogo mkuu usaidiwe zaidi!!!
Certificate mwaka 1kwhyo mkuu nikikomaa na hii ICT itanitoa?na je ili niwe qulified nitoboe miaka mingap?kuanzia cheti,diploma thenn degree.