Msaada shule nzuri ya advance kwa masomo ya sayansi Mbeya

Msaada shule nzuri ya advance kwa masomo ya sayansi Mbeya

Bizzmc

Senior Member
Joined
May 2, 2016
Posts
187
Reaction score
184
Jamani hii ni serious issu naombeni msaada kwa yoyote anaeijua shule nzuri inayofaulisha sana wanafunzi wa masomo ya sayansi advance mkoani Mbeya please ni serious utani majungu yakaushie.
 
Mbeya bado wana shida ktk shule za private kwa masomo ya sayansi.

Kama unataka PCM nenda Panda Hill sec lkn kama ni PCB au CBG kuna shule mbili na ambazo ki ukweli performance yao ni poor ambazo ni Meta sec na Mlima Mbeya Sec.

hizo ndo shule pekee ninazo zifaham za private kwa masomo ya sayansi mbeya mjini, kuhusu wilaya zake ngoja waje wajuzi zaid
 
Kama unahitaji shule ya mjini tends pandahil, kamautahitaji wilaya ya rungwe wasiliana na lubala sec IPO kiwira!
 
kama kwa government nenda Iyunga technical kwa wabbe wa PCM na PCB...
 
Back
Top Bottom