Ni kodi ya mwaka huu,nimelima ya miezi saba,miezi mitano iliyobaki nimemwambia ntalipa mwishoni mwa mwezi wa pili,nina risiti za bank ambazo nimeingiza hiyo pesa kwenye akaunt yake,mkataba kwa kawaida huwa tunasign baada ya kumaliza kodi,so by now nina risiti za malipo yote...hiyo ambayo umemuahidi kumalizia ni ya lini?, na je, kulikuwa na mkataba wowote ambao mmekwisha andikishana?,
Ni kodi ya mwaka huu,nimelima ya miezi saba,miezi mitano iliyobaki nimemwambia ntalipa mwishoni mwa mwezi wa pili,nina risiti za bank ambazo nimeingiza hiyo pesa kwenye akaunt yake,mkataba kwa kawaida huwa tunasign baada ya kumaliza kodi,so by now nina risiti za malipo yote
...wala asikusumbue, hana "cause of action" ya kukushitaki maana hakuna mahala ambapo umevunja mkataba, anakutisha tu. akienda mahakamani let me know, i will tell u what to do. Nitakupa my contacts and i will assist u. So hamjaandikishiana mkataba wowote?, na je huo ndo utaratibu wenu wa kulipana? Hapo umeishi kwa muda gani?
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi wa pili nimalizie kiasi kilichobaki ila cha kushangaza huyu mama mwenye nyumba anasema ikifika jumamosi asinione kwenye nyumba yake na harudishi pesa yoyote,hivi huyu mama anajitambua?na kinachompa kiburi ndugu yake ni afisa upelelezi pale ostabei polisi kwa hiyo huwa anatumia mgongo wake kunyanyasa wapangaji
sasa mimi nataka kumuonyesha kwamba nchi hii inasheria haiendeshwi kimabavu,naomba kama kuna mwanasheria,au mtaalamu wa sheria za upangaji anisaidie katika hili
MHESHIMIWA;
Nataka nikushauri kama ifuatavyo
Mahakama haiwezi kusikiliza mkataba unaokiuka sheria kuanzia uundaji wake, na swali la kwanza katika mahakama ni kutaka kujua kama kuna mkataba halali machoni pa sheria kwa kuangalia sheria za kanuni za mikataba inasemaje
1. mkataba huu ni miongoni mwa hile inayotakiwa kuwekwa katika maandishi, mpaka sasa mkataba wenu hauko katika maandishi badala yake ni wa mdomo mpaka muda huu.Kwasababu hiyo moja akienda mahakamani ataambiwa hakuna mkataba na mahakama haiutambui na itambidi arudi meza ya mazungumzo na wewe
2. Haya, ameambiwa kuna mkataba sheria inaruhusu instalment of value na ndicho kilichofanyika katika kesi yako na haruhusiwi kisheria kubadili hata sehemu ndogo mliyokubaliana.
USHAURI,
USIANZE KUKIMBILIA MAHAKAMANI WEWE ,MWACHE AENDE ASHINDWE VIZURI, LETS CONTACT 0769560204 IN ANY NEEDFULL

...na pia, kama alikuwa hataki hayo malipo ya instalment asingekubali kupokea hizo fedha, kile kitendo cha yeye kupokea ni kama amekubali hayo malipo impliedly, suala la ndugu yake kuwa afisa wa upelelezi, halimfanyi yeye kuwa mahakama. So hana effect in that case.