Msaada sheria kuhusu ukopeshaji.

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
110
Greetings,
Kuna Ofisi inafanya kazi ya Kukopa (interest 15%) na Kukopesha (kwa 20%).

Nataka kuikopesha hii kampuni. But ningependa nifanye hili legally. Je ni kivipi ninaweza kuji weka safe katika hili?, Wao wana mkataba ambao wakopeshaji wana sign bt ningependa nifanye hili more professionally,

Kwakuwa mwenye kampuni ndie signatory, and what if akifa, wakati sijapata pesa zangu back?

Naomba ushauri mfano ni documents zipi naweza jadili nae, ambazo zitaniweka safe hata akiondoka, or something of the like.

Natanguliza shukrani.
 
mkuu inafuatana,loan amount ni kiasi gani? Ni type ipi ya kampuni ltd?au unltd to shareholders?is it legally reg. in URT?ina b'ness gani? Foreign au? Private au public? Utaitaji security au hapana? Yote aya ilibidi yajitokeze kwenye maelezo yako ili upate ushauri wa kitaalam. Usisubiri kuulizwa maswali,eleza vizuri kwa sababu mazingira ya kukopa yanatofautiana sana na documents ziko tofauti sana kulingana na maswali yangu juu. Ushauri wa haraka,kama una ela ya kutosha fanya Investments,usisubiri mtu abebe ela yako ndo akainvest ili uambulie riba nyembamba na pressure juu kama akidifault. Kumbuka Law of contract inaeleza jinsi mkataba unavokuwa frustrated!sitaki yakukute kama yanayowakuta waliowapa ela wamiliki wa DECI,serikali ikibatilisha utamdai nani?
 
Asante Mkuu,
1st
Hawa jamaa wamesajili kampuni, ni limited Company, approved by BOT. and thfey are paying Kodi TRA. Wanakubali kukopeshwa kiasi chochote na kukopesha watu kiasi chochote kulingana na qualifications. Kwenye kuikopesha kampuni yao ( maxmum 10milion then unapata 10% monthly) that means ukiwakopesha 10million utakuwa unachukua 1million everymonth. Kwa wanaokopeshwa na hi kampuni wao wanahitajika kuwa na mortigage+ a lot of complictions.

2nd
Ni kweli nivizuri ku invest mwenyewe, but i want to explorer kama naweza kuwa safe if i decide kuwakopesha bse.....Pesa yangu ita ji-generate bila operational costs. and 1 million @ month kwa 10 million kwangu haaitakuwa mbaya sana.

Ila tu.
kwa wao wanaingia mkataba na wewe unae wakopesha kwa miezi mitatu kwa 10% on top.

Je kwa maelezo hayo ni angalie nini kwa mkataba nitakao negotiate nao, ili nipunguze risk za kukosa Haki ya kuwadai if things go wrong?

Please Lawyers help
 
Additianal:
Ukiwakopesha zaidi ya 10million riba ywanayokupa on top ni 6% monthly.
 
Back
Top Bottom