Visacard
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 233
- 218
Guys nisaidieni sehemu wanapouza biriani nzuri kwa dsm kwa siku ya kesho jumatano
Sio biriani tu au panauzwa pilau au michemsho ya samaki au nyama za mbuz ngombe au kuku
Ila pawe bei za kawaida za kati yaani bei ya sahani ianzie elfu 3 , elfu 4 hadi elfu 5 kwa sahani km ni kisinia basi isizidi elfu 15
Guys maeneo km haya itapendeza zaid....Magomeni, kinondon, k.koo na kigamboni...
Pls
Ila priority yangu ni biriani ikikosekana bas hizo second option mniambie