Msaada sehemu ya kujaza fire extinguisher

Msaada sehemu ya kujaza fire extinguisher

option

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,499
Wakuu habari, naomba msaada kujua sehemu ambazo wanafanyia service fire extinguisher kwa hapa dar es salaam na hasa Temeke au mbagala kuu
 
wasiliana na zimamoto kuna kampuni wamezipitisha kufanya service mitungi ya kuzimia moto.
 
Kujaza fire extinguisher nenda fire. Wanatoa huduma hizo na pia kuna mawakala waliosajiriwa kufanya kazi hizo. Kwa temeke na kwingineko Fire watakuelekeza wakala aliye jirani nawe
 
Kujaza fire extinguisher nenda fire. Wanatoa huduma hizo na pia kuna mawakala waliosajiriwa kufanya kazi hizo. Kwa temeke na kwingineko Fire watakuelekeza wakala aliye jirani nawe
Mkuu niende mpaka fire tena boss mi nlitaka msaada wa wakala aliye temeke au mbagala
 
Piga namba 114 fire and rescue team ni bure kabisa watakupa maelekezo.
 
hiyo fire eksitingisha ilitumikaje mpaka ikaisha.? au ulizimia kibatari chako getto..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom