Msaada sehemu ya kudownload nyimbo

Aghrrr sijaelewa ngoja nianze Upya
 
Kuna application inaitwa snaptube sio apps ya android

Hii unaigoogle kwenye browser ya kawaida kisha ikifunguka unaidownlod

Ukishaidownlod then una install

Ukishainstal unaanza kupakua nyimbo kama kawaida. Nyimbo zote za utube
 
Asanteni wote[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
hao wote juu watakuchanganya kama unatakakudownload MUSIC AUDIO NENDA HULKSHARE.COM kwenye search unaandika jina la msanii au wimbo kisha download wimbo wako tena kwa speed ya kasi sana
 
Bado hujanieleza kitu,Tubidy is the best kwangu,labda tu kama hujazielewa hizo features mpya ila wako vizuri sana.
 
Nenda kweny camera afu piga selfie [emoji40] [emoji40]

Jus kidding [emoji81] [emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…