jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Mkuu hilo chimbo jipya linaitwaje?Nenda maeneo ya dar Street kuna Guest house na lodge nzuri tu zinazoendana na bei yako,sehemu nzuri za kujirusha nenda Black diamond,pub alberto,meku bistro na nasikia kuna chimbo jipya zuri limeanzishwa njia kama unaenda arusha baada ya kuvuka ile roundabout.
Shukrani mkuu.Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Dar ndiko makazi yangu.Mkuu unatokea kijijini au,,,!!!!!
Manake huo mji wa Moshi barabara kuu ni moja tu,,
Je ungepata ziara ya kwenda Dar au Mwanza,,,!!!
Naimani ungejitoa hadi kwenye magazeti kutafuta msaada[emoji1321]
Red stone -Kuringe hall palee.. Hatari tupuuNenda maeneo ya dar Street kuna Guest house na lodge nzuri tu zinazoendana na bei yako,sehemu nzuri za kujirusha nenda Black diamond,pub alberto,meku bistro na nasikia kuna chimbo jipya zuri limeanzishwa njia kama unaenda arusha baada ya kuvuka ile roundabout.
Shukrani mkuu Song..Red stone -Kuringe hall palee.. Hatari tupuu
Yap ndiyo hapo!Red stone -Kuringe hall palee.. Hatari tupuu
Umesahau kumuagizia wanakokaa pia wale dada zetu wanaouza "poa" yaoQwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
KeleleQwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Hebu nitonye mkuu! Mimi pia niko Moshi leo na kesho,sehemu ya kulala na kula ipo tayari,ila msitu ndo bado sijaujua,nnataka nichekicheki wanyama hai! Wapo wapi hapo town?Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Malindi au black diamond hiyo bidhaa inapatikanaHebu nitonye mkuu! Mimi pia niko Moshi leo na kesho,sehemu ya kulala na kula ipo tayari,ila msitu ndo bado sijaujua,nnataka nichekicheki wanyama hai! Wapo wapi hapo town?