Ndugu wana JF naombeni msaada wenu, laptop yangu aina ya hp Elitebook 2530p haionyeshi kitu chochote kwenye screen baada ya kuwaka.
Inaanza kuwaka vizuri inaleta logo ya window 8 halafu inanambia niweke password kama kawaida lakini baada ya hapo screen inakua plain kabisa.
Msaada wenu unahitajika ASAP