AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,431 Reaction score 1,406 Dec 13, 2014 #1 SCREEN YANGU YA COMPUTER NILIIGONGA BAHATI MBAYA KWENYE MLANGO WA GALI. INATOA KAMA WINO KWA NDANI.KAMA IONEKANAVYO KWENYE PICHA HAPO. JE KUA UWEZEKANO WA KUPATA SCREEN MPYA AU KUTENGENEZA?NA INAWEZA GHARIMU KIASI GANI?MSAADA Attachments IMG_20141213_151823.jpg 763 KB · Views: 71
SCREEN YANGU YA COMPUTER NILIIGONGA BAHATI MBAYA KWENYE MLANGO WA GALI. INATOA KAMA WINO KWA NDANI.KAMA IONEKANAVYO KWENYE PICHA HAPO. JE KUA UWEZEKANO WA KUPATA SCREEN MPYA AU KUTENGENEZA?NA INAWEZA GHARIMU KIASI GANI?MSAADA
Shuli JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 264 Reaction score 633 Dec 13, 2014 #2 Tafuta ma Fundi wabadirishe screen hiyo. Mie naweza kukuuzia screen tu
Shuli JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 264 Reaction score 633 Dec 13, 2014 #3 Screen hiyo ni nchi ngapi?