Ms mashaba
Member
- Dec 28, 2011
- 43
- 4
Jameni wandugu naombeni msaada, screen display ya hii laptop haijatulia kabisa. Maandishi yanatetemeka mpaka wakati mwingine screen inakuwa nyeupe kabisa. Je tatizo laweza kuwa nini?