sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
dish nlalotumia ni gulf star, receiver ni mediacom lina lnb mbili ila moja nilitoa mda tu kwa sababu binafsi na hiyo moja iliyobaki ndo ilikuwa inapata hizo channel za kibongo zote na chache nyinginezo kabla sijalihamisha mahali lilipokuwa mwanzo..Niambie unatumia Dish aina gani na unatumia receiver aina gani pia Dish lako umeweka LNB ngapi ndipo nitakuelekeza vizuri.
Lnb iliyobaki ni ya aljazeera lnb uliyoitoa ndiyo ungeweza pata local chanel, itv ch5 chten capital tbccm star tv, za msumbiji tvm1 tvm2, za zambia znbc 1&2 tim tp1
Lnb iliyobaki ni ya aljazeera lnb uliyoitoa ndiyo ungeweza pata local chanel, itv ch5 chten capital tbccm star tv, za msumbiji tvm1 tvm2, za zambia znbc 1&2 tim tp1
Naomba msaada wa frequency za aljazeera na hizo za msumbiji FTA. Pia channel ten kama ipo.Ni za C-Band.
yaani ni kwamba hizo tbc, itv na zinginezo ambazo sizipati saiz nilikuwa nazipata hata baada ya kutoa lnb mara ya kwanza, nilikuwa natumia lnb moja tu kapata hizo channel zote za kibongo na nyinginezo ikiwemo aljazeera..ambazo sasa ndo sizipati baada ya kusogeza dish pembeni, na fundi aliyenirekebishia kaniwekea naona aljazeera tu na ewtn sijui na moja ya kihindi basi!! ila nilikuwa nazipata chanel zote za kibongo kabla sijahamisha kwa lnb hiyo hiyo moja..na distance niliyohamisha haizidi m5 kutoka lilipokuwa mwanzo...
aljazeera 4065h19850,Msumbiji 3654v5632.. Ch10 3906h2849.
yaani ni kwamba hizo tbc, itv na zinginezo ambazo sizipati saiz nilikuwa nazipata hata baada ya kutoa lnb mara ya kwanza, nilikuwa natumia lnb moja tu kapata hizo channel zote za kibongo na nyinginezo ikiwemo aljazeera..ambazo sasa ndo sizipati baada ya kusogeza dish pembeni, na fundi aliyenirekebishia kaniwekea naona aljazeera tu na ewtn sijui na moja ya kihindi basi!! ila nilikuwa nazipata chanel zote za kibongo kabla sijahamisha kwa lnb hiyo hiyo moja..na distance niliyohamisha haizidi m5 kutoka lilipokuwa mwanzo...
Usijali mkuu...nimesha solve tatizo ..nilipata fundi mzuri tu na sasa kila kitu mwake...mkuu hapo umeniacha.lnb moja tu.m yaani c band kupata za kibongo pamoja na aljazeera?? Au sijaelewa una maanisha nn? Aljazeera inatumia satellite tofaut na hz za kibongo.m so lnb inabidi ziwe mbili.vile vile kuomba frequence hapa haitakusaidia kwa kuwa kama huku restore factory basi zitakuwemo bado kwa receiver.m so waweza kusearch bila kuandika frequence..
Kingne huyo fundi ulikosea kumlipa.m channel tatu then ukamlipa?? Au alikimbia?