samsung S4 nikiweka laini inasoma kuwa imo na hata sehemu inayoonesha mnara ipo poa ila inaniandikia No service tangu jana mchana, nimejaribu kuweka laini za mtandao mwingine ila tatizo bado lipo.