Kwa hiyo ina maana ni kazi ya fundi,shukrani nitafuatilia,kioo kimekula sana hela.vioo vingine unakuta kwenye tundu la sensor wamepaka rangi so inasababisha sensor isifanye kazi mpka ukwangue hiyo rangi itoke
eee hiyo mpaka fundi , cyo kazi kubwa ila kama huijui kuna hatar ya kuhalibu kiooKwa hiyo ina maana ni kazi ya fundi,shukrani nitafuatilia,kioo kimekula sana hela.
Shukranieee hiyo mpaka fundi , cyo kazi kubwa ila kama huijui kuna hatar ya kuhalibu kioo