JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 9,120 Reaction score 9,732 Jul 20, 2013 #1 natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye vipi jamani niweze kurekebisha tatizo hili?
natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye vipi jamani niweze kurekebisha tatizo hili?