Habar zenu wakuu kuna simu hapa inasumbua sijajuwa naombeni msaada. Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Tab A 2016
Simu hii tatzo linakuja pale napo washa data mnara ama network inashuka mara inapanda mara inaondoka kabsa
Unaweza ukawasha data ikaandika 4g mara muda huo huo ikawa andika E mara mtandao ukaondoka kabsa
NAOMBENI MNIJUZE JE TATZO NI NN NA JE LINA TATULIWA VIPI
Simu nilinunua mpya kabsa dukani na ilikuwa inafanya kazi vzury tu nashangaa kipindi hiki inaleta shida hii wakat haikukutana na tatzo lolote la kuanguka na nimejarbu line tofaut tofaut lakn naona bado tu
Kwa mjini cjawai toka nayo tangu ilete shida hii uwaga naichaga ila naona simu zingine znafanya vzury tu lakn hii ndo tatzo