Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,927 Reaction score 27,167 Jun 26, 2023 #1 Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
Themann JF-Expert Member Joined Apr 15, 2022 Posts 3,844 Reaction score 16,094 Jun 26, 2023 #2 Kapige file lake.
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 6,066 Reaction score 12,190 Jun 26, 2023 #3 Chief-Mkwawa Nadhani akija hapa utapata solution
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,927 Reaction score 27,167 Jun 26, 2023 Thread starter #4 Reuben Challe said: Umejaribu Ku factory reset? Click to expand... Hapana sijafanya ivyo
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,927 Reaction score 27,167 Jun 26, 2023 Thread starter #5 Reuben Challe said: Factory reset hiyo simu may be it's just a bug in your phone, Kama tatizo litaendelea baada ya Ku factory reset basi akina Chief Mkwawa wanaweza kukusaidia kitaalamu zaidi. Jaribu ku factory reset ingawa itafuta kila kitu kwenye simu Click to expand... Sawa mkuu. Nashukuru
Reuben Challe said: Factory reset hiyo simu may be it's just a bug in your phone, Kama tatizo litaendelea baada ya Ku factory reset basi akina Chief Mkwawa wanaweza kukusaidia kitaalamu zaidi. Jaribu ku factory reset ingawa itafuta kila kitu kwenye simu Click to expand... Sawa mkuu. Nashukuru
Lukanka JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 510 Reaction score 530 Jun 26, 2023 #6 Fuata huo mtitiriko kuringana na namba mwishoni pale pakiwa ON weka OFF
k2206 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2018 Posts 737 Reaction score 744 Jun 26, 2023 #7 Ingekuwa techo au infinix leo kazi ingekuwepo.