Ukubwa wa sauti ya sabufa ndio ukubwa wa umaskini wa mmilikiHili tatzo limeanza majuzi tu
Sabufa langu main speaker inanguruma
Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?
Jee tatizo ninini?
Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu...
Wajuzi hili tatizo ninini?
Mpelekee ndugai. Wote ndugu baba moja. Atajua tatizo la nduguye. Ni ma-subwoofer yote. Yanakoroma bila mantiki mpaka kero!Hili tatizo limeanza majuzi tu
Sabufa langu main speaker inanguruma
Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?
Je, tatizo ninini?
Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.
Wajuzi hili tatizo ninini?
DuhWeka picha tulione kwanza. Ikiwezekana weka na sauti tulisikie linavyo nguruma ili tutafute namna nzuri ya kukusaidia.
kelphin kepph huyu ni mtaalamu wa hayo mambo na kuna uzi alianzisha kuhusu masuala hayo. Mcheki.
Msosi babu au uchovu. Inakuwa imechoka au ina njaa...wewe mwenyewe ukiambiwa uimbe wakati wote sidhani kama utaweza. Utafikia hatua utakuwa unanguruma tu.Hili tatizo limeanza majuzi tu
Sabufa langu main speaker inanguruma
Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?
Je, tatizo ninini?
Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.
Wajuzi hili tatizo ninini?
SAWAkelphin kepph huyu ni mtaalamu wa hayo mambo na kuna uzi alianzisha kuhusu masuala hayo. Mcheki.