Elak Member Joined Jul 24, 2017 Posts 56 Reaction score 137 Sep 17, 2017 #1 Wakuu samahanini...Simu yangu S6 edge imekua na tatizo la kujizima na haiwezi kuwaka bila kuichomeka kwenye chaji..nimejaribu kuifactory reset lakin tatizo bado...Mwenye uelewa naomba msaada
Wakuu samahanini...Simu yangu S6 edge imekua na tatizo la kujizima na haiwezi kuwaka bila kuichomeka kwenye chaji..nimejaribu kuifactory reset lakin tatizo bado...Mwenye uelewa naomba msaada
Zugak17 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 1,171 Reaction score 383 Sep 18, 2017 #2 Tatzo ni Betr au connector ya betr au ya curcuit.
Tatigha JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 1,951 Reaction score 2,034 Sep 18, 2017 #3 Ina Muda gani hiyo simu tangu uinunue?
Elak Member Joined Jul 24, 2017 Posts 56 Reaction score 137 Sep 18, 2017 Thread starter #4 Tatigha said: Ina Muda gani hiyo simu tangu uinunue? Click to expand... miez miwili
Elak Member Joined Jul 24, 2017 Posts 56 Reaction score 137 Sep 18, 2017 Thread starter #5 Zugak17 said: Tatzo ni Betr au connector ya betr au ya curcuit. Click to expand... sawa mkuu...unanshaur niirudishe dukan(nna warranty) au niipeleke kwa fundi...
Zugak17 said: Tatzo ni Betr au connector ya betr au ya curcuit. Click to expand... sawa mkuu...unanshaur niirudishe dukan(nna warranty) au niipeleke kwa fundi...
Zugak17 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 1,171 Reaction score 383 Sep 18, 2017 #6 Elak said: sawa mkuu...unanshaur niirudishe dukan(nna warranty) au niipeleke kwa fundi... Click to expand... Rudisha dukani ila uhakikishe unapewa maelezo ya kujitoshereza.
Elak said: sawa mkuu...unanshaur niirudishe dukan(nna warranty) au niipeleke kwa fundi... Click to expand... Rudisha dukani ila uhakikishe unapewa maelezo ya kujitoshereza.
Elak Member Joined Jul 24, 2017 Posts 56 Reaction score 137 Sep 18, 2017 Thread starter #7 Zugak17 said: Rudisha dukani ila uhakikishe unapewa maelezo ya kujitoshereza. Click to expand... Sawa mkuu
Zugak17 said: Rudisha dukani ila uhakikishe unapewa maelezo ya kujitoshereza. Click to expand... Sawa mkuu
Zugak17 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 1,171 Reaction score 383 Sep 25, 2017 #8 Elak said: Sawa mkuu Click to expand... Ukiona imekuwa issue sana njoo uniuzie kioo