Kuna vitu haviendani kwa kweli.
Mfano kuulizia Range 'hivi haili mafuta eeh'
Huwezi pata performance of a big car kwa cost za boda. Tujifunze kukua kwanza halafu ndio tufanye mambo ya wakubwa.
BY the way hatujaachana sana. Mi nnaulizia bei zake zipoje hadi kuimiliki
?? Sh ngapi?