msaada rafikiye wife

Mchunguze mkeo maana ndege wa aina moja huruka kundi moja....eti rafiki yangu amtake mume wangu afu nimpe tahadhari hubby badala ya kumpa za uso rafiki; haiingii akilini....chunguza mkeo kaka isije kuwa na yeye ni mule mule.
 
mweeeee...kuna wanawake wengine hawaelewi especially kama huyo mwanadada akiwa na intention na huyo mwanakaka....
 
acha mazoea nae, kuwa busy na mambo yako, usimpe nafasi kwa kuongea nae usiku au kumjibu txs zake...ignore that chick if you have true intentions with your wife....
 
Mchunguze mkeo maana ndege wa aina moja huruka kundi moja....eti rafiki yangu amtake mume wangu afu nimpe tahadhari hubby badala ya kumpa za uso rafiki; haiingii akilini....chunguza mkeo kaka isije kuwa na yeye ni mule mule.

Du hapa unamtisha kabisaaa
 
Nyeeeee, hili nalo linahitaji ushauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…