Ni kweli nimeshapata ushauri mwingi humu kazi kwangu kuufanyia kazi. Nitaendelea kukupa ushirikiano kwa kujibu maswali yako. Ndie ninae mtoto mmoja, anytime nategemea kupata mwingine.mkewangu ana mimba miezi 8 now.

Hizo ni Imani potofu tu, maji ya nazi au madafu sio chanzo cha mabusha, mabusha na matende yasababishwa na mbu aina ya CULEX ambao Wapo wengi sana maeneo ya pwani.

Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32. Kuna tatizo kwenye pumbu yangu ya kulia,nakumbuka toka nakua bado kijana mdogo mara kadhaa ishatokea pumbu yangu ya kulia inavimba na baada ya muda inanywea yenyewe..
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32. Kuna tatizo kwenye pumbu yangu ya kulia,nakumbuka toka nakua bado kijana mdogo mara kadhaa ishatokea pumbu yangu ya kulia inavimba na baada ya muda inanywea yenyewe...