Nadhan hapo kuna two factors... Ni kweli Prado zadondoka sanah..ila naweza ongelea mambo mawiliPrado sijui walizikosea wapi, zinadondoka sana katika safari ndefu, sio gari ya safari ile
Good...Murano itakufaa na kuhusu rough road itapita inasuspension nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri.. Inaoptions za Twd na Awd. Inanguvu na engine ni ngumu ingawa spea za Nissan zipo juu kidogo kwa ila ukifunga unasahau.
Tege or hips?Bila kusahau kuwa murano ina tege baya ls matairi ua nyuma kama rav 4
Wasalaam wanabodi.
Nimejichanga na napenda kununua gari la juu kidogo maana huku ninakokaa gari langu la chini kila siku naacha bamba kwenye makorongo.
Sina uzoefu na hizi gari, Prado ya 1998 na Murrano ya 2004 ndo chagua ninalofikiria kuchukua. Naomba ushauri kuhusu spear, uimara na confortability.
Nawashukuru sana in advance.
Hahaha. Kikekike du. Aksante mkuu.Prado gari nzuri sana unawez ukaifananisha kama na gari ndogo zile Rav4 za mwaka 1998 hazichuji ni kama Prado murano kwanza imekaa kike kike sana haiwezi shuruba