Siko oriented na hizo PS4 hivo sijui exactly lengo lako!
Ila as far as I know ukiwa unataka ku allow any connection to the router either from Local au remote network itakuwa rahisi ukiwa kwenye broadband ila kwa mitandao ya 3G/4G inakua vigumu Only Smile and Smart walikua na service ya kuku Permeat uweze kufanya hivo connections ila kwa kutoa some TZS.