Habari zenu guyz, naombeni mnisaidie tatizo langu kwenye desktop,Hishu ni kwamba siwezi ku login ninapoiwasha inatokea blue screen na maandishi yanayosomeka
STOP: c000021a fatal system error.The session manager initialization system process terminated unexpectedly with a status of 0xc000003a (0x0000000 0x00000000).
The system has been shut down.
Nimejaribu safe mode nayo imegoma window ninayotumia ni xp.