Kaka kama simu ni kambi, mi nipo kambi ya nokia na smartphone ya nokia ambayo ni bei rahisi na ina specification nzuri ni nokia 701
1)Camera ni megapixel 8
2)Speed ya processor ni 1 ghz uki update 1.3ghz
3)Ram yake 512
4)Memory ya simu ni 8gb na ina uwezo wa kuchukua memory card ya 32gb
Inatumia symbian belle
Bei yake ni dola 284 nafkiri tuki iconvert kwa tz sh itakuja laki nne na kitu (haitafika laki 5)
Achana na overpriced shit