Msaada plz!! windows kwenye Linux os

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,785
Reaction score
2,062
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anijuze plz
 
Kwanza pata WINE kisha utakuweza ku_run windows application katika Linux

Pitia hii video ili kujifunza jinsi ya kuweka WINE na kuitumia.
​
 
Last edited by a moderator:

thanks let m try
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…