Naomba kutanguliza kwen shukran zang wakuu kwa kuendelea ku2saidia na ku2elimisha.
Nina nokia 6230 ambayo ukiplay video kweny net au ukidownload na kuiplay inagoma na kuandika FILE FORMAT NOT SUPPORT.
Au ukifungua video kwenye u tube inagoma nakuandika msg hiyo.Au huleta msg ihusuyo mambo ya java scrip nilikuo naomba kuuliza ni setting gan na nisehem gan ni check ili iweze kukubali.
Nawasilisha kwenu wataalam
Nakubaliana na wewe si kila simu inauwezo wa kuplay streaming video kulinganna na format.dah sasa akidownload opera au bolt ndo simu itaongeza format za video? Kaka 6230 ni old model nakushauri instead ya kutumia youtube tumia Vuclip web video search utapata video zilizo kwenye format ya simu yako. Flash simu yako haina ila javascript inayo kui enable click web then setting utaikuta huko
Nakubaliana na wewe si kila simu inauwezo wa kuplay streaming video kulinganna na format.
Lakini Bolt browser yenyewe inayo player yake inayoweza kustream video online
I stand to be corrected
dah sasa akidownload opera au bolt ndo simu itaongeza format za video? Kaka 6230 ni old model nakushauri instead ya kutumia youtube tumia Vuclip web video search utapata video zilizo kwenye format ya simu yako. Flash simu yako haina ila javascript inayo kui enable click web then setting utaikuta huko