Jamani mwenzenu nimetumiwa bill ikinitaarifu kulipia huduma ya kudownload ambayo siifahamu wala sijawahi kuitumia. Sielewi jina langu na adress yangu wameipata wapi.
Nilidhani mchezo sasa naona barua zimezidi na maonyo kibao wakitishia kunishtaki hadi nakosa amani.
Je kuna mtu anawaelewa hawa matapeli wa kwenye net?? sijui niende polisi au nifanyeje. Sijawahi kuingia nao mkataba wa aina yoyote ile.
Plz nisaidieni.Nimepewa siku saba za kulipia.