ok, kwanza pita intanet ujue bank ina fanya nini na wewe unakwenda kufanya nini? watakuuliza swali la kwanza tell us about you? CV................ kisha kwa nini umeomba hiyo bank? lakini ungetaja post ningekushauri ujiandae vp zote kwa oro na kwa writen.... kwa mfano ukiwa marketing utafanya nini ikiwa bank yako imedrop