Nahitaji kununua simu aina ya tecno K7. Nimeipenda kwa sababu ina **fingerprint**
Je, ni kweli fingerprint haitaruhusu mwingine kufungua au kutumia simu yangu? Yaani hata kama anaijua password, fingerprint hatokuwa nayo na hatoweza kufungua na kutumia au kusoma?
Asante