Archive wanamaanisha Zip file.
Zip ni njia moja ya ku compress (kuzigandamiza ili kupunguza matumizi ya nafasi) files, pia inatumika kugawanya file kwenye vipande vidogo zaidi so file ya 1Gb unaweza kuigawa into 10 ~100Mb files.
Pia unaweza kuitumia kufungasha mafaili mengi kwenye file moja e.g badala ya kuatach mafaili 200 kwenye email unaweza ukayazip yakawa faili moja kisha ukaatach hilo, atakayepokea atatakiwa kuanzip akisha download.
So hiyo Zip Manager inatumika kutengeneza zip files (Zipping) na kuzifungua zip files (Unzipping).