The Kingston
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 4
Nimetokewa na uvimbe km mtu anayetoka usingizin macho yanakuwa kama yamevimba hivi halafu kuna kubanduka banduka kwa ngozi na kuwasha kweny hiyo miuvimbe
Chini ya jicho yaan nyusi ya chini
Umepewa dawa gani?Hospital nimeenda nimepewa dawa ya matone ile ya macho lakn bado upo tu nauona
Jina la dawa banaaa!!!Active ingredient??Ile ya macho ya maji