...ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipibe bao kuna siku hadi mara mbili
natokaje kwenye hilo tatizo
Sasa Kujipiga Bao Si Ndo Uanaume.Kama Hufanyi Manake Zitajaa Kwenye Makende Na Zitakua Zinatoka Kwa Staili Hiyo.Kwahiyo Cha Kukushauri Uwe Unavaa Pamperz Ili Husichafue Mashuka
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipibe bao kuna siku hadi mara mbili
natokaje kwenye hilo tatizo
Jilazimishe kuacha ndugu yangu, itakusumbua sana badae hiyo kitu, kama umefikia umri wa kuoa na sifa unazo usiogope
oa tu na uwe karibu na mkeo na usijaribu tena hiyo kitu, kama bado hujafikia hatua ya kuoa, jilazimishe kuacha hiyo kitu
si nzuri. Kuwa na mpenzi ni uamuzi wako siwezi kukushauri uwe mzinzi.
sipati picha geto lako...ni harufu ya mabao tu!!!
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipige bao kuna siku hadi mara mbili, natokaje kwenye hilo tatizo.
Msaada tafadhali
aiseeee mwanaume wewe una hatar
sipati picha geto lako...ni harufu ya mabao tu!!!
Sali kabla yakulala. Kemea mapepo
Kuna kitu mnasahau
Unaweza kuvumilia kutokua na mpenzi ila huwezi kuzuia nyege