Msaada please

Loading....... Mmmmhhhh pole sana ukilala huwa waangalia juu ama kifudfudi...?
 
Kawaida hiyo, ndo njia ya kupunguza mrundikano wa protein mwilini
 
aliyekupa cheo cha kuangalia point ni nani ?
ulipewa lini ?
na kwa nini akupe wewe?

Easy boy! Ame ku compliment hapo! I see you is still bitter!:lol:
 
Piga ua hao wataribani lazima watoke tu hata ungekemea Mara 70 kwa sababu wametengenezwa ili watoke kwa njia yotote mshukuru Mungu wanatoka ukiwa usingizin unapata flavor wengine zinawashuka kwenye daladala kwa lazima pindi akiona ta.ko la au ti.ti
 
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipibe bao kuna siku hadi mara mbili
natokaje kwenye hilo tatizo

Sasa Kujipiga Bao Si Ndo Uanaume.Kama Hufanyi Manake Zitajaa Kwenye Makende Na Zitakua Zinatoka Kwa Staili Hiyo.Kwahiyo Cha Kukushauri Uwe Unavaa Pamperz Ili Husichafue Mashuka.
 
Easy boy! Ame ku compliment hapo! I see you is still bitter!:lol:

Longtime no see!!! How have you been lately! I miss you! :lol:

Nimetafuta jibu zuri la kukujibu nimelikosa
ngoja kilichopo kichwani kipungue au kiondoke kabisa
kuna mod ananipiga ban kila akijisikia ananitafutia sababu ndio maana nipo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…