Msaada please?

Msaada please?

emizo

New Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Naomba kuuliza safi za mtu aliyemaliza form six na kupata div 3 mwaka 2016 kujiunga na open university inakuwaje??
 
Vigezo hutegemea course ila minimum entry ni D mbili yaani two principles zenye uzito wa 4.0
 
Naomba kuuliza safi za mtu aliyemaliza form six na kupata div 3 mwaka 2016 kujiunga na open university inakuwaje??
Sema unataka kujiunga na program gani na ufaulu wako ukoje kwa kila somo ili upate ushauri mzuri. Kwa ujumla vyuo huwa wana angalia ufaulu kwenye masomo husika na si division hata kama division ina uhusiano na ufaulu kwa kila somo.
 
Back
Top Bottom