Wasiliana na Instagram kwa email yao,kuna process za kuzifata ikiwa ni pamoja na kutumiwa code fuani kisha uambiwe uandike kwenye karatasi nyeupe kisha upige picha ukiwa umeishika karatasi husika na kisha uwatumie. Hakikisha picha yako ni moja kati ya picha zilizokua ndani ya hiyo account.
Au kama Uliverify namba yako ya simu nenda kwenye kuchange password then kupitia namba ya simu kisha watakutumia link ya kuchange password.