Msaada please,wanasheria na wataalam wa mambo ya fedha

Msaada please,wanasheria na wataalam wa mambo ya fedha

us malisa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
131
Reaction score
37
Naomba kujua namna ya kuvunja mkataba wa fixed account ktk benki ya crdb,kwa anayefaham anisaidie
 
Aisee mimi nataka kuvunja mkataba na Efatha niwawahi kabla hawajasepa
 
Ukienda CRDB utapata jibu moja la uhakika sana mkuu ila nadhani kuna penalty and at a minimum, unaweza kuwepa hela yako tu bila thumni ya nyongeza
 
EFATHA umechelewa. Wenye Nchi washaiweka under Mufilisi. Ombeni Mungu sana mlipwe stahiki zenu
Aisee naziona hapa kwa SIM Banking nimefanikiwa kuhamishia kwa MPESA sijui jamaa wamelala, ngoja nizivushe mtandao wa pili halafu nikazitumbue kesho asubuhi. Hizo za fixed deposit basi nimewatolea sadaka😡😡😡
 
Aisee mimi nataka kuvunja mkataba na Efatha niwawahi kabla hawajasepa
24a55d5a5cbbb5c45dc91f77ad187039.jpg
 
Msaada pia, vp naweza kufungua fixed account kwa miez sita niweke pesa kwa malengo???
 
Ndio inawezekana mkuu,,hata kwa miezi kumi n.a. mbili,, Ila wanatoa faida ndogo sana
Asnte mkuu, kuna biznec nimeanzisha nikua na wazo la kufungua account niwe naweka pesa daily kwa lengo la miez 6
 
Asnte mkuu, kuna biznec nimeanzisha nikua na wazo la kufungua account niwe naweka pesa daily kwa lengo la miez 6
Weka kwenye simu yako mkuuu sasa iv pesa ni mpesa
 
Asnte mkuu, kuna biznec nimeanzisha nikua na wazo la kufungua account niwe naweka pesa daily kwa lengo la miez 6
ILA siumesikia lakini ukiwa na milioni Kumi bank ikifirisika unapewa 1.5, mimi nna laini mbili za voda moja ya Tigo, ,kila moja nimeweka M.5 . nimezitoa toka bank moja ya kawaida,, maana nimeingiwa hofu, naona Ngosha kahamua kuzama mpaka kwenye vibubu kutusomesha namba
 
Back
Top Bottom