msaada please naomba nafasi ya kazi

Kazakuku

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
354
Reaction score
110
Kwa yeyote aliye mwanza na kama anasoma post hii naomba anipe kazi yoyote ile ila iwe halali maana maisha ni magumu jaman mpaka nawaza na yasiyopaswa kuwazwa! Elimu yangu ni ya Diproma of Public Administration,natanguliza shukrani.
 
mimi ninafuga kuku ila kwa hilo jina lako siwezi siwezi kukupa kazi!
 
mambo gani unayoyawaza ambayo hupaswi kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…