Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 753
- 1,882
SawTengeneza programme ya kuondoa matangazo ya kwenye cm, kwenye baadhi ya app ukizifungua..
ili iweje aisee ?title unique
Inahitajika kitu unique kidgo his nilizomention apo hazikubaliki zimekuw more popularili iweje aisee ?
projekti za kichuo chuo hazina issue, hakuna kipya, hakuna jipya
chukua "school/ hospital management system," badili UI , upate 'digrii' yako
Baadh ya vyuo saiz inahitajika kitu unique ili uwez kukamilisha project,Wanataasisi wanaambiwa kila mara wabadili mfumo wa elimu na mitaala lakini hawatilii maanani.
Ona huyu anaomba title ya project, it means tumekuwa tukianza mwaka wa kwanza bila kuambiwa/Kusisitizwa/kuandaliwa kufanya mambo yatakayokuwa na faida leo hii mifumo iko mingi, na watu hawaandaliwi kugundua mipya au hata kutambua mapungufu na kufanya marekebisho.
Taasisi husika mlitazame hili, halafu sio kila IT/CS/IS etc watengeneze mifumo kwani hakuna issue zingine mbona vyuo vyetu ni ajabu mno mpaka leo kila graduates anataka kulipuka na information management system?, Hakuna networking problems? Hakuna hacking na issue za security.
Tutaendelea kusifia elimu za magharibi.
Wanataasisi wanaambiwa kila mara wabadili mfumo wa elimu na mitaala lakini hawatilii maanani.
Ona huyu anaomba title ya project, it means tumekuwa tukianza mwaka wa kwanza bila kuambiwa/Kusisitizwa/kuandaliwa kufanya mambo yatakayokuwa na faida leo hii mifumo iko mingi, na watu hawaandaliwi kugundua mipya au hata kutambua mapungufu na kufanya marekebisho.
Taasisi husika mlitazame hili, halafu sio kila IT/CS/IS etc watengeneze mifumo kwani hakuna issue zingine mbona vyuo vyetu ni ajabu mno mpaka leo kila graduates anataka kulipuka na information management system?, Hakuna networking problems? Hakuna hacking na issue za security.
Tutaendelea kusifia elimu za magharibi.
Watanzania bwana, wewe si ni mwanafunzi...yaani uko mwaka wa 3 chuoni na hujuwi unafanya nini? Unaishi wapi nije nikushikishe adabu.Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique
Sabb Kuna system nying sana zimrshakamilishwa.
Mf. Automation of electricity payment, school/ hospital management system, car parking system, title hiz zote nizakawaida Sana kwhy azikubali .so naomben msaada wa title unique. Nawasilisha
Sio kwamb cjui nafany nn, hi inaweza kuwa y njia y kukusanya user requirements kutk kwa watu ili ku develop applicable systemWatanzania bwana, wewe si ni mwanafunzi...yaani uko mwaka wa 3 chuoni na hujuwi unafanya nini? Unaishi wapi nije nikushikishe adabu.
Unatumia methodology gani mkuu?Sio kwamb cjui nafany nn, hi inaweza kuwa y njia y kukusanya user requirements kutk kwa watu ili ku develop applicable system
Tengeneza remote control ya traffic light. Badala ya askari kusimama barabarani wakati wa heavy traffic kama asubuhi, ambao ni hatari kwake, yeye anakaa kibandani na ku pause/release mzunguko wa traffic lights.Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique.
Sababu Kuna system nying sana zimrshakamilishwa. Mf. Automation of electricity payment, school/ hospital management system, car parking system, title hiz zote nizakawaida Sana kwhy azikubali .so naomben msaada wa title unique. Nawasilisha