Msaada please mtoto mzito wa kuelewa na mwepesi wa kusahau

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,267
3,401
Wadau naombeni msaada kwa watu ambao washapitia hii experience.

Nina mtoto wa dadangu mzito sana wa kuelewa darasani kiasi kwamba hadi walimu wanachoka kumfundisha yaani anaweza kufundishwa kitu kwa Muda mrefu akakielewa lkn ikipita cku mbili anakuwa amesahau kila kitu ulichomfundisha cku mbili zilizopita.

Je? Hyu mtoto atakukuwa na tatizo gani maana kwa sasa angekuwa darasani la pili imebidi tumrudishe la Kwanza na Sasa miezi Minne ishapita lkn kusoma BDO hajui ili Mambo mengine yupo sawa kiakili.

Kwa kwenye aidia pliiz atufanyie msaada ili tumsaidie hyu mtoto
 
Mradi mmeshamuelewa huyo mtoto msilazimishe awe kama wengine, binadamu tuko tofauti. Ikiwezekana mtafutieni mwalimu wa ziada wa kumfundisha jioni au weekend, cha muhimu ajue kusoma, kuandika na hesabu. Mara nyingi watoto wa aina hii ni wazuri kwa kazi za mikono.

Kuna dada mmoja ninakumbuka miaka 2000 mtoto wake wa kiume alikuwa na matatizo kama haya, aliniambia huko shule ninalipa ada kama child care, huo muda anaokuwa shule ninajua yuko mahali salama lakini si tegemei cha Zaidi. Yule kijana alimaliza shule, sasa ni mwimbaji mashuhuri tu lakini simtaji jina hapa.
 
Mradi mmeshamuelewa huyo mtoto msilazimishe awe kama wengine, binadamu tuko tofauti. Ikiwezekana mtafutieni mwalimu wa ziada wa kumfundisha jioni au weekend, cha muhimu ajue kusoma, kuandika na hesabu. Mara nyingi watoto wa aina hii ni wazuri kwa kazi za mikono.

Kuna dada mmoja ninakumbuka miaka 2000 mtoto wake wa kiume alikuwa na matatizo kama haya, aliniambia huko shule ninalipa ada kama child care, huo muda anaokuwa shule ninakua yuko mahali salama lakini si tegemei cha Zaidi. Yule kijana alimaliza shule, sasa ni mwimbaji mashuhuri tu lakini simtaji jina hapa.
huyo ni slow learner tu atafutiwe shule yenye wanafunzi wachache na walimu walio commited wanaojua tabia za wanafunzi na kasi yao kuyaelewa wanayofundishwa atakuwa poa kabisa,hao ni wale wanaokawia kuelewa ila akielewa ameelewa
 
huyo ni slow learner tu atafutiwe shule yenye wanafunzi wachache na walimu walio commited wanaojua tabia za wanafunzi na kasi yao kuyaelewa wanayofundishwa atakuwa poa kabisa,hao ni wale wanaokawia kuelewa ila akielewa ameelewa
Kuna matatizo ya dyslexia pia ambayo huku kwetu hatujayafahamu, mtoto anaelewa lakini inamchukua muda kuregister vitu kwenye ubongo. Kwa wenzetu hata kwenye mtihani watoto wenye dyslexia wanaongezewa muda.
 
Dyslexia, also known as reading disorder, is characterized by trouble with reading despite normal intelligence.[2][3] Different people are affected to varying degrees.[4] Problems may include difficulties in spelling words, reading quickly, writing words, "sounding out" words in the head, pronouncing words when reading aloud and understanding what one reads.[4][5] Often these difficulties are first noticed at school.[6] When someone who previously could read loses their ability, it is known as alexia.[4] The difficulties are involuntary and people with this disorder have a normal desire to learn.[4]

Dyslexia is believed to be caused by both genetic and environmental factors.[6] Some cases run in families.[4] It often occurs in people with attention deficit hyperactivity disorder (ADHD) and is associated with similar difficulties with numbers.[6] It may begin in adulthood as the result of a traumatic brain injury, stroke, or dementia.[2] The underlying mechanisms of dyslexia are problems within the brain's language processing.[4] Dyslexia is diagnosed through a series of tests of memory, spelling, vision, and reading skills.[7] Dyslexia is separate from reading difficulties caused by hearing or vision problems or by insufficient teaching.[6]

Treatment involves adjusting teaching methods to meet the person's needs.[2] While not curing the underlying problem, it may decrease the degree of symptoms.[8] Treatments targeting vision are not effective.[9] Dyslexia is the most common learning disability and occurs in all areas of the world.[6][10] It affects 3–7% of the population;[6][11] however, up to 20% may have some degree of symptoms.[12] While dyslexia is more often diagnosed in men,[6] it has been suggested that it affects men and women equally.[10] Some believe that dyslexia should be best considered as a different way of learning, with both benefits and downsides.[13][14]
 
Kuna matatizo ya dyslexia pia ambayo huku kwetu hatujayafahamu, mtoto anaelewa lakini inamchukua muda kuregister vitu kwenye ubongo. Kwa wenzetu hata kwenye mtihani watoto wenye dyslexia wanaongezewa muda.
thanks kwa maarifa,nilikuwa sijui hilo
 
Wadau naombeni msaada kwa watu ambao washapitia hii experience ....Nina mtoto wa dadangu mzito sana wa kuelewa darasani kiasi kwamba hadi walimu wanachoka kumfundisha yaani anaweza kufundishwa kitu kwa Muda mrefu akakielewa lkn ikipita cku mbili anakuwa amesahau kila kitu ulichomfundisha cku mbili zilizopita , je? Hyu mtoto atakukuwa na tatizo gani maana kwa sasa angekuwa darasani la pili imebidi tumrudishe la Kwanza na Sasa miezi Minne ishapita lkn kusoma BDO hajui ili Mambo mengine yupo sawa kiakili ,.....Kwa kwenye aidia pliiz atufanyie msaada ili tumsaidie hyu mtoto


Dadako ni chadema? Kamrithisha!
 
Einstein nae alikuwa bongo Lala lakn ujinias wake ulianza akiwa 14yrs old... There are many types of human memory that depends on:
1.speed ya ku learn na kuelewa
2. Uwezo wa ku store na ku retrieve info's

But all in all ili kufanikisha smart brain : Brain ina tabia ya ku experience kitu au event ndo ina store Sasa uwezo wa ku retrieve ilicho store ina tegemea ulielewaje

Mtafutieni Ticha Ili Dogo aweze kupata experience na mazoez ata ji tune tu as time goes on..
 
huyo mtoto ni slow learner anahitaji mwalimu wa kumfundisha taratibu kwendana na kasi yake,mimi nilikuwa na bro wangu anamtoto kama huyo ilibidi amtoe kayumba ampeleka shule nzuri yenye wanafunzi wachache,saa hizi dogo ni kichwa balaa
Au wanaitwa vichwa ufuto kwa jina jingine hata mimi nina tatizo kama hilo lakini alhamdulillah niko university sasa hivi
 
Au wanaitwa vichwa ufuto kwa jina jingine hata mimi nina tatizo kama hilo lakini alhamdulillah niko university sasa hivi
hakuna asiye na akili,ila jinsi ya kuelewa ndio tumetofautiana, ila maneno yako kwake ndio yatamfanya awe hivyo,we mtie moyo tu na mtafutie walimu na shule nzuri atakuwa poa
 
NATAMANI KUKU ULIZA MASWALI LAKINI WEWE SI MAMA YAKE MZAZI HUWENDA USIWE NA MAJIBU. LAKINI TATIZO HILO LAWEZA KUWA LILI SABABISHWA KIPINDI CHA KUZALIWA AU LILIMPATA BAADA YA KUZALIWA SASA JINSI YA KUMSAIDIA NDO INATEGEMEA NA CHANZO CHA TATIZO
 
Back
Top Bottom