Msaada please: HTC One at&t inaitaji SIM Network Unlock PIN

mozilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
790
Reaction score
1,264
Habari ndugu zangu wa Technology!

Simu ya HTC One at&t nikiiwasha inaitaji SIM Network Unlock PIN. Sasa hii unlock code nitaipataje wadau?
 
Kama ni mpya inawezekana bado iko locked kwenye at&t, tafuta wataalam wa kunlock kama ni hivyo
 
Habari ndugu zangu wa Technology!

Simu ya HTC One at&t nikiiwasha inaitaji SIM Network Unlock PIN. Sasa hii unlock code nitaipataje wadau?

It is your sim card's pin code and nothing else check from your sim card main card where it is printed Pin and PuK code.

I use HTC One_M8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…