Msaada pleas

Mangii

Member
May 3, 2012
52
3
Habari wanajamii nina tatizo kwenye uume wangu kunakuwa na maumivu kwa mbali hasa karibia na tundu la kutolea mkojo je?inaweza kuwa tatizo gan kwa anayefahamu anisaidie plz tatizo limeaanza jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…