danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 572
- 131
Baada ya kushindwa kufanya manunuzi mtandaoni kama ilivyokuwa zaman niliamua kuwa siliana na crdb customer care ndipo wakanambia kuna kias cha 79000 kimeshikiliwa wakanishauli nisubiri masaa 72 wataclear hyo pesa na ntaendelea na manunuzi mtandaon lakin Leo ni zaid ya wiki hamna majibu.sasa wadau naomba mnijuze n vp naweza solve chili tatizo? Pia nataka nijue nini huwa kinasababisha hzo peas kushikiliwa wakati mara zote ninapofanya manunuzi mtandaon huwa naweka pesa ya kutosha na huwa inakatwa kama kawaida? Msaada wenu wakuu