Pole sana kutokana na maelezo yako naona tatizo hapo ni ufahamu wa extention gani inafunguliwa na software gani.
Word document ina .doc inafunguliwa kwa kutumia microsoft word,excel files zina .xls,zinafunguliwa na Microsoft excel,pdf infungua document yenye extention ya .pdf sasa hiyo yako ni .txt,hiyo fungua kwa kutumia Notepad au Notepad++ au program yeyote inayoweza fungua .txt.Sijajua kwanini umesema ni pdf files alafu ambacho hakifunguliwi umeleta .txt.Pdf readers softwares kama adobe reader na primo pdf haziwezi kufungua .txt files.Katika kudownload sometimes maelekezo huwa wanayaweka kwenye .txt file ukiacha file /software husika.
Kutokana na hiyo message unayopata kama ni kweli e-mail ilituma pdf files,mwambie aliyekutumia atume kwenye e-mail account nyingine kama alitumia ya ofisini sasa akutumi kwa yahoo au hotmail,lakini pia jaribu kufungua kwenye computer nyingine .Na hakikisha hiyo computer unayofungulia ina adobe reader installed.
Huu ni mchango wangu kidogo