Kufanya hdd partition pendelea kufanya hivyo unapo-install windows, hizi partition managers hazina uhakikia 100%, install sasa kwa kutumia cd, kama kuna data zitapotea funga windows 2 i.e usi-format machine, halafu ukishavichukuwa vitu vyako utafunga windows mara ya 2 huku ukifanyia partion wakati wa windows installation.